欢迎您 本站地址:
复制网址
手机查看
切换背景
返回首页
返回外语学习
斯瓦希里语-在线学习-在线点读-小库网
日光浴
Kuota jua
潜水呼吸管
Neli ya hewa ya mzamia
浮潜
Kutumia neli ya hewa
海滩上沙子多吗?
Je, ufukwe una mchanga?
对小孩来说安全吗?
Je, ni salama kwa watoto?
我们能在这里游泳吗?
Je, tunaweza kuogelea hapa?
在这里游泳安全吗?
Je, ni salama kuogelea hapa?
这里会有危险的暗流吗?
Je, kuna mkondo wa chini wenye hatari?
几点涨潮?
Je, bamvua inatokea saa ngapi?
几点落潮?
Je, maji kupwa yanatokea saa ngapi?
这里有很强的水流吗?
Je, kuna mkondo wa nguvu?
我要去散步
Naenda kwa matembezi
我们在这里潜水安全吗?
Je, tunaweza kupiga mbizi hapa bila hatari?
我怎么才能去到岛上?
Ninawezaje kufika kwenye kisiwa?
这里有船可以带我们去那里吗?
Je, kuna mashua ambayo inaweza kutuchukua huko?
立即登陆
注册账号
上一页
返回列表
返回首页
下一页
小库提示
扫描下方二维码,访问手机版。
打赏
关闭