欢迎您 本站地址:
复制网址
手机查看
切换背景
返回首页
返回外语学习
斯瓦希里语-在线学习-在线点读-小库网
你们提供医疗保险吗?
Je, unatoa bima ya afya?
是的,在这里工作满六个月之后会开始提供
Ndiyo, baada ya miezi sita ya kufanya kazi hapa
你有工作许可吗?
Je, una kibali cha kufanya kazi?
我有工作许可
Nina kibali cha kufanya kazi
我没有工作许可
Sina kibali cha kufanya kazi
你什么时候可以来上班?
Unaweza kuanza lini?
我们的酬劳是每小时10美元
Ninalipa dola kumi kwa saa
我们的酬劳是每小时10欧元
Ninalipa yuro kumi za Ulaya kwa saa
我们按周结算酬劳
Nitakulipa kwa wiki
按月
Kwa mwezi
你周六周日不用上班
Una mapumziko Jumamosi na Jumapili
你需要穿制服
Utavaa sare
立即登陆
注册账号
上一页
返回列表
返回首页
下一页
小库提示
扫描下方二维码,访问手机版。
打赏
关闭